Yanga kuonyeshana kazi leo na waangola, Taifa Wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Afrika, Yanga SC leo inashuka dimbani uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Sagrada Esperanca ya Angola. Read more about Yanga kuonyeshana kazi leo na waangola, Taifa