RC Arusha amtumbua mhandisi wa wilaya ya Meru Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda amemsimamisha kazi Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Peter Mikimba, kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Read more about RC Arusha amtumbua mhandisi wa wilaya ya Meru