Uamuzi wa mchele kutoagizwa nje ya nchi ni mzuri
Serikali inapoteza shilingi laki 9 kwa kila tani moja ya mchele inayoingizwa nchini kimagendo jambo linaloathiri uchumi wa nchi na kurudisha nyuma maendeleo ya wakulima wa kilimo cha mpunga ambao kwa mujibu wa takwimu ni wakulima milioni mbili.