Wabunge wapigana bungeni Afrika Kusini Ngumi zimeibuka kwenye bunge la Afrika Kusini jana, baada ya maafisa usalama kuagizwa kuwatoa kwa nguvu bungeni wabunge wa kambi ya upinzani, kwa kumkatiza rais Jacob Zuma akihutubia bunge. Read more about Wabunge wapigana bungeni Afrika Kusini