Wabunge wanawake UKAWA watoka nje ya Bunge Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaounda Umoja wa katiba ya wananchi Ukawa wametoka nje ya ukumbi wa Bunge kwa kushinikiza kiti cha spika wa Bunge kuchukua hatua. Read more about Wabunge wanawake UKAWA watoka nje ya Bunge