Apatikana hai baada ya siku 6 ndani ya kifusi Mwanamke mmoja katika jengo la ghorofa lililoporomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha siku 6 zilizopita katika mtaa wa Uhuru Jijini Nairobi amepatikana akiwa hai. Read more about Apatikana hai baada ya siku 6 ndani ya kifusi