Oil feki chanzo cha kifo cha magari ya kifahari
Taarifa za kitaalamu zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya magari ya kifahari nchini Tanzania, yamekuwa yakiharibika na kufa muda mfupi tangu yanunuliwe kutokana na wamiliki wake kununu mafuta na vilainishi visivyoendana na mahitaji ya injini zake.