Ningekuwa CCM ningehoji kutorushwa Bunge 'live' Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Fredrick Sumaye amesema kwamba hata kama angekuwa katika chama cha mapinduzi (CCM) angehoji kutorushwa kwa Bunge live kwani ni haki ya kikatiba. Read more about Ningekuwa CCM ningehoji kutorushwa Bunge 'live'