Wakunga wenye lugha chafu watashughulikiwa

Uwepo wa wakunga wa jadi kuwazalisha wakinamama wajawazito kumetajwa kuwa ni moja ya sababu ya vifo vitokanavyo na uzazi wakati hapo awali wakunga wa jadi walionekana kuwasaidia kina mama hao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS