Mkuu wa Kitengo cha fedha cha Exim Bank Bw. Selemani Ponda (kushoto) akifafanua jambo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam. Kulia kushoto kwake ni Naibu Mkuu wa Fedha Bw. Issa Hamisi.
Benki ya Exim yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam, ipo katika nafasi nzuri ya kuwa moja ya taasisi chache zinazoweza kufadhili miradi ya maendeleo baina ya Tanzania na Uganda.