Wanafunzi wa SAKU Sec. School wanajadili juu ya ajali zinazoendelea kutokea, ni nini kifanyike hasa kwa madereva, hatua gani zichukuliwe, sheria za barabarani. Vyote hivi wamejadili kwenye KIMBWETA Usikose.
Submitted by richard on Wednesday , 4th May , 2016