Madawani wataka malipo ya ardhi yasitishwe
Baraza la Madiwani manispaa ya Moshi limempa muda wa mwezi mmoja na nusu Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jeshi Lupembe, kufuatilia la ununuzi wa eneo la makaburi lilipo kaika kijiji cha Mtakuja wilaya ya Moshi vijijini.