Wanawake 432 kwa kila vizazi hai laki 1 hufariki

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema sensa ya kitaifa ya mwaka 2012 inaonesha kuwa wanawake 432 kwa kila vizazi hai laki moja hufariki dunia kila mwaka kutokana na matatizo yatokanayo na uzazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS