Serikali lipeni madeni ya Tanesco-Makalla
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla, amezitaka taasisi za serikali zinazodaiwa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO), mkoani Mbeya kulipa madeni yao ili shirika hilo liweze kujiendesha na kutoa huduma bora kwa wananchi.