TFF yabadili tarehe ya uchaguzi Klabu ya Yanga Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga kuwa utafanyika Juni 25 mwaka huu badala ya Juni 5 kama ilivyopangwa hapo awali. Read more about TFF yabadili tarehe ya uchaguzi Klabu ya Yanga