Charls Kuyeko; Walisababisha kifo washughulikiwe!
Meya wa Manispaa wa Ilala, ameagiza hatua za haraka za kinidhamu zichukuliwe kwa Daktari na Wauguzi wawili waliokuwa zamu siku ya Ijumaa katika hospitali ya Amana kwa kuchelewesha matibabu na kusababisha kifo cha mwendesha bodaboda.