David De Gea aweka rekodi mchezaji bora Man United

Golikipa wa klabu ya Manchester United David de Gea

Kipa David De Gea ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Manchester United kwa mara ya tatu mfululizo baada ya Jumatatu usiku kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS