Muuguzi adaiwa kumtandika kibao mjamzito- Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amos Makala ametoa muda wa siku 7 kwa Mkurugenzi Hospitali ya Rufaa Mbeya, Dk. Goodlove Mbwanji, kufanya uchunguzi na kutoa ripoti kuhusu muuguzi kumpiga mama aliyekuwa akijifungua.