Umoja wa Ulaya wapongeza hatua za Dkt. Magufuli
Umoja wa Mataifa ya Ulaya umepongeza hatua zinazochukulia na rais Dkt. John Magufuli,katika kudhibiti vitendo vya rushwa nchini na kuahidi kutoa misaada zaidi ili kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi.