Kamati ya nidhamu TFF kutangaza uamuzi rufaa FDL.
Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),leo saa 5:00 asubuhi itatangaza uamuzi wa rufaa nane zilizowasilishwa na kujadiliwa za viongozi, mchezaji na timu tatu zilizoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania