Jiji wang'ang'ania UDA,Kusajili upya mali zake

Halmashauri ya jiji la Dar es salaam, imeendelea kushinikiza msimamo wake wa kutiuza asilimia 51 ya umiliki wa hisa zake kwenye shirika la UDA na kwamba hakuna nyaraka zozote zinazoonyesha uhalali wa mauzo hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS