Cindy asainishwa Grandpa Records ya Kenya. Msanii Cindy Sanyu kutoka Uganda amepata dili la kusainiwa na lebo ya Grand Pecords ya nchini Kenya, ambayo siku nyingi walikuwa wanamfukuzia kumsimamia kazi zake. Read more about Cindy asainishwa Grandpa Records ya Kenya.