Yanga yazidi kupaa mbio za ubingwa ligi kuu bara.
Yanga imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kuafutia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United jioni ya leo Uwanja wa Kambarage, Shinyanga ukiwa ni moja ya michezo yake minne iliyobakia katika mbio za kuwania utetezi wa kombe.