Panguapangua ya ratiba ligi kuu bara yaibuka tena.
Kwa mara nyingine tena kama ilivyozoeleka haipiti wiki ama michezo kadhaa bila ratiba ya ligi kuu ya soka Tanzania bara kurekebishwa kwa kufanyiwa marekebisho madogo kwa baadhi ya michezo ama kuahirishwa kutokana na sababu wanazojua bodi ya ligi.