Vyama vya siasa vifuate katiba na sheria za vyama Kufuatia mgogoro unaondelea ndani ya chama cha ADC, Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini imethibitisha kupokea taarifa za mgogoro huo na tayari ofisi hiyo imeanza kulifanyia kazi suala hilo. Read more about Vyama vya siasa vifuate katiba na sheria za vyama