Hakuna mashine mbovu Ocean Road- Kigwangalla
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kwamba serikali inatambua matatizo wanayokumbana nayo wananchi hospitali ya matibabu ya saratani nchini Ocean Road Jijini Dar es salaam.