Ngassa aanza mazoezi baada ya upasuaji

Mshambuliaji Mrisho Ngassa.

Mchezaji nyota wa timu ya Free State Stars ya nchini Afrika Kusini, Mrisho Ngassa ameanza mazoezi ya taratibu baada ya kuanza kupona kutokana na upasuaji wa goti aliofanyiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS