Madaktari bingwa wa upasuaji wavuka lengo Mwanza

Mkurugenzi wa taasisi ya Mifupa ya Moi, Dkt. Othman Kiloloma

Jopo la Madaktari bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili Moi, kwa kushirikiana na Hospitali ya rufaa ya Bugando imevuka lengo la upasuaji watoto 50 baada ya kufanya upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi 55 mkoani Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS