Tanzania ya viwanda kuanzia Morogoro
Serikali imeanza kutekeleza kwa vitendo azma yake ya kujenga uchumi unaotegemea viwanda baada ya kuzindua ujenzi wa mradi maalum wa uwekezaji wa viwanda Mkoani Morogoro ili kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana nchini.