Kipindupindu chaibuka tena Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, Mkoa wa Pwani umekumbwa tena na mlipuko wa Ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo baaada ya kudhibitiwa kwa kipindi hca wiki mbili zilizopita. Read more about Kipindupindu chaibuka tena Pwani