Man U yaikatalia Leicester kuwa ngazi ya ubingwa Leicester lazima isubiri mechi mbili zilizobaki, kutwaa taji la ligi kuu ya soka nchini Uingereza, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Manchester United kwenye uwanja wa Old Trafford jioni ya leo. Read more about Man U yaikatalia Leicester kuwa ngazi ya ubingwa