Kamati ya kupinga ubaguzi yamaliza kazi Rwanda Mwakilishi wa kudumu wa Rwanda kwenye Umoja wa Mataifa, Francois Xavier Ngarambe Kamati ya kupinga ubaguzi wa rangi imehitimisha ripoti ya pamoja ya Rwanda kuhusu utekelezaji wake wa makubaliano ya Kimataifa ya kupinga aina zote za ubaguzi wa rangi. Read more about Kamati ya kupinga ubaguzi yamaliza kazi Rwanda