Simba SC yaelekea Zanzibar tena kuiwinda Mwadui FC
Kikosi cha Simba, kimeondoka hii leo kuelekea visiwani Zanzibar kuweka kambi ya siku nne kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mwadui FC itakayopigwa mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.