Vanillah kuondoka Kings,Ibraah Mchangieni Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Vanillah kutoka label ya muziki ya Kings inayomilikiwa na msanii Alikiba amefunguka mpango wake wa kuondoka katika label yake hiyo. Read more about Vanillah kuondoka Kings,Ibraah Mchangieni