Ajali ya treni yajeruhi watu 10 Dar es Salaam
Jumla ya watu 10 wamejeruhiwa baada ya treni ya abiria maarufu kama treni ya Mwakyembe inayofanya safari zake kati ya Kariakoo na Pugu jijini Dar es Salaam, kupata ajali baada ya mabehewa yake matatu kuacha njia.