Maandalizi muswada wa sheria ya wazee, yakamilika Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla Serikali imekamilisha mapendekezo ya uundwaji wa Sheria ya Wazee ambayo itawasilishwa katika mkutano wa Bunge wa Septemba. Read more about Maandalizi muswada wa sheria ya wazee, yakamilika