Snura afungiwa kufanya kazi za sanaa Serikali imezuia wimbo na video ya 'Chura' ya msanii kupigwa kwenye chombo chochote cha habari maeneo ya wazi na kwenye kumbi mbali mbali na Snura amefungiwa kufanya maonyesho yoyote ya wazi Read more about Snura afungiwa kufanya kazi za sanaa