Mama wa Tupac Afariki dunia Afeni Shakur amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 69. Mama wa msanii Tupac ambaye pia ni mwanaharakati Afeni Shakur Davis amefariki dunia katika jiji la Calfonia Nchini Marekani. Read more about Mama wa Tupac Afariki dunia