Sheikh Muhammad Idd afariki dunia

Sheikh maarufu nchini, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, amefariki dunia leo tarehe 30, Januari, 2025
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, kifo chake kimetokea katika Hospitali ya Mloganzila alikokuwa akipatiwa matibabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS