Kama mbwai na iwe mbwai - Kagame

Mahusiano kati ya Rwanda na Afrika Kusini yanaweza kuwa si mazuri kwa sasa hii ni baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame kutoa onyo kali kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, akisema kwamba Rwanda imejiandaa kwa lolote iwapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS