Witness atoa kichapo kisa wivu kwa Ochu Star wa Bongofleva Witness anaetamba kwa jina jipya la Kibonge Mwepesi amedhihirisha kuwa yeye ni matata baada ya hivi karibuni kutembeza kichapo kwa dada mmoja mbele ya umati wa watu. Read more about Witness atoa kichapo kisa wivu kwa Ochu