Wakimbiaji zaidi ya 150 kushiriki riadha U20 EA.
Tanzania inataraji kupokea ugeni mkubwa wa wanamichezo wa mchezo wa riadha kutoka katika mataifa 11 ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati watakaotua nchini kushiriki mashindano ya riadha kwa vijana yatakayoanza kesho katika uwanja wa taifa.