Afya na usalama makazini si hiyari-Mhagama
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama,Serikali itahakikisha kuwa mifumo ya sera na sheria zilizopo zinasimamiwa ipasavyo ili suala la Afya na usalama mahali pa kazi lisiwe jambo la hiyari.