Vijana wanufaika na mradi wa soko la Ajira Dar
Zaidi ya Vijana 1000 wanaotoka katika mazingira hatarishi kutoka wilaya za Ilala na Temeke Jijini Dar es Salaam,wamenufaika na mradi wa soko la ajira ambao umewasaidia kupata stadi za maisha na kupata ajira katika taasisi mbalimbali nchini.