Villarreal yaiua Liverpool Europa League Bao la dakika za majeruhi la Adrian Lopez, liliipa Villarreal ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Europa League. Read more about Villarreal yaiua Liverpool Europa League