Suala la Sukari laibuka tena Bungeni hii leo
Serikali ya Tanzania imesema imeshatoa vibali kwa wawekezaji wa viwanda vya Sukari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa Sukari nchini huku akitoa onyo kwa wafanyabiashara wanaopandisha bei ya sukari zaidi ya bei elekezi ya Serikali.