Madawa yamponza Ferooz Msanii wa Bongo fleva Ferooz Baada ya ukimya wa muda mrefu sana wa wakongwe wa muziki wa Bongo Flava story zilizopo mtaani ni kuwa Ferooz ni miongoni mwa wasanii wanaotumia madawa ya kulevya na ndiyo sababu iliyompoteza kwenye reli ya muziki. Read more about Madawa yamponza Ferooz