Uswazi
Kutokana na mabinti wengi siku hizi kuwa na tabia ambazo hazina maadili, USWAZI imemtafuta kungwi ili aweze kutuambia nani alaumiwe, binti anayepokea mafunzo ya kungwi au kungwi anayetoa mafunzo kwa binti? Pia huku hakuna kutongozana. Ni Jumapili hii