Nimebadili style ya mavazi nina mchumba- Wolper
Uvaaji wa mavazi kuanzia zamani hutegemeana na matukio pamoja na namna mtu alivyolelewa japo suala hili kwa sasa ni gumu sana hasa kwa wasanii kutokana na kuwasikiliza mashabiki wao na mabadiliko ndani ya jamii.