Nay Wamitego na Niva wavuana nguo hadharani
Baada ya lile drama kati ya nyota wa Bongo movie, Niva Supermariyo, na Nay wa Mitego kushika moto kutokana na wimbo wa 'Shika adabu yako' ya Nay na Niva kuamua kumjibu kupitia filamu ambayo aliipa jina la 'Maisha ya mtoto wa Manzese'.